Samia, Sugu walivyoipandisha Hip Hop katika Dream
Mr ll au Sugu, mwanamuziki mkongwe wa hip hop nchini na ambaye jina lake halisi ni Joseph Mbilinyi, alikuwa akiadhimisha miaka 30 tangu aingie katika sanaa hiyo mwanzoni mwa miaka ya tisini.
Mr ll au Sugu, mwanamuziki mkongwe wa hip hop nchini na ambaye jina lake halisi ni Joseph Mbilinyi, alikuwa akiadhimisha miaka 30 tangu aingie katika sanaa hiyo mwanzoni mwa miaka ya tisini.
Uamuzi umetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe dhidi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini baada ya Gari ambalo ni mali ya Kanisa hilo kumgonga na kusababisha kifo cha Kaselida Mlowe. Hakimu amesema Kanisa linawajibika kulipa fidia hiyo kutokana na uzembe uliofanywa na Rajab Kitwana ambaye alikuwa Dereva wa Gari hilo wakati wa Ajali
Kesi ilifunguliwa na waliokuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa #Nigeria uliofanyika Februari 2023, Peter Obi wa Chama cha Labour na Atiku Abubakar (PDP) kwa madai Tume ya Uchaguzi (INEC) ilishindwa kuweka Matokeo Mtandaoni kwa muda halisi. Madai hayo ikiwemo ya Tume kushindwa kuwa wazi na kukiuka Sheria za Uchaguzi yalipokelewa na Mahakama huku INEC ikijitetea kuwa ucheleweshaji wa Matoke