Kwa mujibu wa majirani, mwili wa mwanaume mmoja aliyetambuliwa kuwa ni dereva bodaboda ulikutwa ndani ya chumba, huku mwili wa mwanamke ukiwa katika korido ya nyumba wa nyumba waliyokuwaa wamepanga
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Farida Sabu maarufu 'Bi Sonia' aliyevuma na kundi la Kaole, amefariki dunia leo Alhamisi akiwa Zanzibar.
Mr ll au Sugu, mwanamuziki mkongwe wa hip hop nchini na ambaye jina lake halisi ni Joseph Mbilinyi, alikuwa akiadhimisha miaka 30 tangu aingie katika sanaa hiyo mwanzoni mwa miaka ya tisini.